Wimbo wa Namba - Hesabu Kuanzia Moja - LEARN TO COUNT IN SWAHILI

Hesabu kuanzia moja hadi kumi! LEARN TO COUNT TO TEN IN KISWAHILI! moja, mbili, tatu, nne, tano, sita, saba, nane, tisa, kumi! Karibuni Lala Land, ulimwengu wa maajabu, ambapo utajifunza na kucheza na Akili! Imba namba! Cheza herufi! Cheka, chora, na jifunze Kiingereza na Akili. Angalia “Akili and Me“ TBC1 saa 3 asubuhi j1 & j2 pamoja na Ubongo Kids. Ride the rainbow to Lala Land, and join Akili and her friends on a magical learning adventure. Sing with numbers, dance with letters, draw, play and lea
Back to Top