Uplifting Swahili Worship song Kenya 2020 Miguuni Pako | Timothy Mbendo
Please subscribe if you haven’t.
Wimbo wa kumtumainia Kristu hasa wakati huu mgumu wa janga la Covid 19.
This Music Video was created just before the Corona Virus hit Africa, so don’t be surprised if you don’t see social distancing. Mungu akubariki wewe na familia yako unaposkiza wimbo huu, na akuelekeze vyema kwa shughuli zako na mahitaji yako yote. Amina.
LYRICS:
Ninasogea mimi, Miguuni pako
Nikuabudu Yesu, uweponi mwako
kinyua changu kiwe chombo cha ibada
ibada zangu Bwana uzikubali
(Ninasogea)
Ninasogea mimi, Miguuni pako
Nikuabudu Yesu, uweponi mwako
kinyua changu kiwe, chombo cha ibada
ibada zangu Bwana uzikubali .........................x2
(Hallelujah)
Imani iliyo ya kwako, yanitosha mimi
Imani iliyo ya kwako, yanitosha mimi
upendo wako usio na kipimo
ulinichagua mimi
upendo wako usio na kipimo
ulinichagua mimi
wewe ni shujaa, ulinzi wako ni tosha
wewe ni shujaa, ulinzi wako wanitosha
na kama ni ukombozi, mimi apa nashuhudia x3
VIDEO PRODUCTION:
Keyame Media
Director of Photography:
Ayoti Clin
1 view
292
77
3 years ago 00:05:33 1
Uplifting Swahili Worship song Kenya 2020 Miguuni Pako | Timothy Mbendo
4 months ago 00:15:19 1
Because He Lives | Jesus, Friend of Sinners | Nothing but the Blood | Imani Milele Choir
2 years ago 00:04:16 3
Dan Bay & Idd Aziz - Hale [Afro House 2023 / Melodic House 2023 / HMWL]