Nilisaidia Watu Wenye Uhitaji | Homeless Wanaoishi Skid Row, Los Angeles, California | HUKU YUES

Nilitembelea mitaa ya Skid Row, Los Angeles, California huku USA, Nikatoa misaada ya chakula kwa watu wasio na makazi (homeless). Skid Row ni mtaa unaojulikana kua na homeless wengi huku Los Angeles. Niliamua kugawana kidogo nilichonacho na kuwabariki wengine. Tembea na mimi ujionee yaliyojiri. Pia nakuomba usubscribe ili usimiss video mpya nitakazokua nikipost. Asante kwa kutazama, Nakupenda sana! My previous video; 🔸FOLLOW ME ON; INSTAGRAM: #hukuyues #losangeles #mtaani
Back to Top