Tanzania Vs Malawi 2-0 Second Half

Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa stars imeishinda malawi magoli 2-0 yaliyofungwa na Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu. Mchezo ni hatua ya mwanzo kuelekea kufuzu kombe la dunia nchini Urusi.
Back to Top